YayBlogger.com
BLOGGER TEMPLATES

Friday 1 March 2013

Maua ft. Mwana Fa- So Crazy
gonga link hiyo

http://www.hulkshare.com/86mbz5ox8xz4

Jina lake la kisanii ni Maua Sama, Msanii chipukizi kutoka Moshi
Tanzania. Akiwa Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza katika Chuo Cha Ushirika
na Biashara Moshi, kwa mara ya kwanza anasikika katika kipindi hiki
“Exclusively” katika nyimbo yake ambayo amemshirikisha MwanaFA ikiwa
ni nyimbo inayomtambulisha katika ulimwengu wa muziki wa Kizazi Kipya
Bongo.

No comments:

Post a Comment