YayBlogger.com
BLOGGER TEMPLATES

Friday 1 March 2013



gonga link hiyo hapo chini
NEW TRACK: C Low ft Babro- Chuki (Prod by JumbeNylon)

http://www.hulkshare.com/feofbw1ihbls

Maua ft. Mwana Fa- So Crazy
gonga link hiyo

http://www.hulkshare.com/86mbz5ox8xz4

Jina lake la kisanii ni Maua Sama, Msanii chipukizi kutoka Moshi
Tanzania. Akiwa Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza katika Chuo Cha Ushirika
na Biashara Moshi, kwa mara ya kwanza anasikika katika kipindi hiki
“Exclusively” katika nyimbo yake ambayo amemshirikisha MwanaFA ikiwa
ni nyimbo inayomtambulisha katika ulimwengu wa muziki wa Kizazi Kipya
Bongo.

NEW TRACK: Princess Lala- Niambie (Prod by JumbeNylon)

New Track from Basement Production
Princess Lala- niambie (Produced by JumbeNylon)

http://www.hulkshare.com/1kctv0nb4vds

New Track: king kapita ft King Zilla- Kuna tatizo Kwani ( Prod by Mesen selecta)

HIT MAKER KINGKAPITA TOKA TANZANIA TENA NA TENA KATIKA UJIO MPYA NYIMBO ALIOFANYA NA GODZILLA KUTOKA STUDIO YA DEFATALITY PALE KWA MESSEN SELEKTA

NYIMBO INAITWA "KUNATATIZO KWANI"

IKIWA IMEBEBA LINE KALI ZA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII KAMA :
"BABA JAMBAZI MAMA CHANGUDOA MTOTO KAZALIWA KONDA OTEA NINI KITAFATIIA//"
//HII BAHATI HAIZIMWI KWA MIDOMO FORM SIX ALIPATA ZIRO NA LEO NDO BOSS WAO//
                              
  download kwa kugonga link hiyo hapo chini